Katika ulimwengu wa kidijitali, ubunifu wako, kipaji chako, uchangamfu wako, au ujuzi wako unaweza kuwa daraja la kukufanikisha kifedha. Yote huanza kwa kuanzisha channel ya YouTube na kutengeneza maudhui yenye thamani kama video au podcast.
Jukwaa la YouTube ni fursa kubwa ya kipato kwa kila mtu – iwe unataka mapato ya ziada au kuifanya kazi yako ya kudumu. Jamani Media inakupa maarifa, mbinu, na zana za kukuza channel yako na kupata kipato kwa njia sahihi na za uhakika.
Tunakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya:
✅ Kuanzisha na kukuza channel yako ya YouTube
✅ Kutengeneza maudhui bora na kuvutia watazamaji
✅ Kuweka mikakati ya monetization ili kuingiza kipato
✅ Kuunda biashara endelevu kupitia YouTube
Tunafanya research na kuandika video script za simulizi za aina zote zinazovutia watazamaji kuangalia video nzima hivyo kuongeza watch hours za channel.
Tunakusaidia kufikisha vigezo vya kuanza kulipwa youtube haraka. Tunatatua matatizo ya monetization kuanzia kuapply hadi pesa kuingia kwenye akaunti yako.
Tunakufanyia utafiti wa video aina gani uandae ili kupata watazamaji wengi zaidi. Hautakuja kuishiwa Idea za video gani uandae na kupload kwenye channel yako
Kama haujaanza YouTube, au kama umeanza lakini channel yako haijaanza kutengeneza Milioni 1 kila mwezi kwenye bank account yako ANZA MASOMO LEO HII HII!.
Mbinu za uhakika na halali 100%
Ndani ya mwezi 1-2
BEI: 10,000/= TSH
Jinsi ya Kubrand channel kimafanikio.
Aina za video na Ratiba ya ku-upload.
BEI: 10,000/= TSH.
Video za Simulizi = pesa nyingi Script zikiandikwa kwa namna hii!.
BEI: 10,000/= TSH
Pata kuanzia 500,000/= ya ziada kila mwezi.
Vifaa, branding na Gameplan
BEI: 10,000/= TSH